Askofu Mlola : Yanayotokea katika maisha yanatufundisha/Aelezea Askofu Kilaini alivyotekwa/”Shukuru”

Written by on March 28, 2022

Ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Kigoma Mhashamu Joseph Mlola katika homilia yake wakati wa Misa takatifu ya Kumshukuru Mungu kwa miaka 50 ya Upadre kwa Askofu msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba Mhshamu Method Kilaini. Misa iliyofanyika katika kanisa kuu la Bukoba Jinbo Katoliki la Bukoba. March 19 2022. www.radiombiu.co.tz


Current track

Title

Artist

Pakua programu ya simu ya Apple
Send this to a friend