Kanisa
Page: 4
Watakatifu mashahidi wafiadini Cosmas na Damiano tunaowakumbuka leo walikuwa ndugu mapacha waliozaliwa huko Arabia miaka ya mwanzo ya Ukristo. walisoma na kufudhu vizuri katika tiba na sayansi ya madawa. Tangu utoto wao Cosmas na Damiano walijawa na moyo wa upendo na kuwahudumia watu. kama wakristo, walitumia taaluma yao kuwahudumia wagonjwa. kama matatibu walipata fursa za […]