mafundisho

Hii ni homilia iliyotolewa na Padre Maximilian Mutasingwa Paroko msaidizi Parokia ya Rwamishenye Jimbo Katoliki Bukoba wakati wa misa takatifu ya Sikukuu ya kupashwa habari Bikira Maria, misa iliyoambatana na kuwaombea mama wajawazito katika kanisaKuu la Bikira Maria Mama mwenye huruma Kanisa kuu Bukoba. www.radiombiu.co.tz #RmSautiYaFaraja

Ni mfululizo wa Mafundisho ya kila Juma kutoka kwa Paroko msaidizi wa Parokia ya Yohana Paulo II Rwamishenye Jimbo Katoliki la Bukoba Padre Maxmillian Mutasingwa , mafundisho haya hutolewa kila juma katika kanisa kuu la Bukoba Jimbo Katoliki la Bukoba. Karibu ufuatilie sehemu hii ya Mada inayohusu Mfungo wa Kwaresima. www.radiombiu.co.tz   #RmSautiYaFaraja

Waamini Wakatoliki wameaswa kufuata mafundisho ya kweli kutoka kwa Mungu kwa  kufuata misingi ya kuhurumiana, Kusamehena na kupatana badala ya kukumbatia mafundisho ya uongo yanayosukumwa kwao na Shetani na mwisho kupandikiza chuki kati yao. Rai hiyo imetolewa na Paroko wa Parokia ya Itengule Jimbo Katoliki Iringa Padri Renatus Shija katika  adhimisho la Misa Takatifu  Jumapili […]


Current track

Title

Artist