Matukio ya sasa ya kidini

Askofu Michael Msonganzila wa jimbo Katoliki Musoma amewaasa waamini kujenga moyo wa huruma na kutenda matendo ya huruma hasa kipindi hiki Cha Kwaresima na hata baada ya Kwaresima kama Yesu alivyokua mwenye huruma hasa kwa wadhambi.   Ameyasema hayo Jumapili ya Tano ya Kwaresima Katika Adhimisho la Misa Takatifu ya baraka na Ufunguzi wa Miradi […]

  Leo tutafakari tendo la kwanza la uchungu ambalo ni Yesu anatoka jasho la damu. Kadiri ya Injili, baada ya Yesu kuweka Ekaristi Takatifu kwenye karamu ya mwisho, alikwenda kuanza rasmi mateso yake katika bustani ya Getsemani. Dhambi iliingia katika bustani ya Eden na mateso yatakayoondoa dhambi yanaanza katika bustani ya Getsemani.   Yesu alionekana […]

Ni sehemu ya Pili ya makala ya Kardinali Laurean Rugambwa inayosimuliwa na Askofu Dkt. Method KilainiAskofu msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba. www.radiombiu.co.tz #RmSautiYaFaraja #RugambwaDay

Ni simulizi ya maisha ya Askofu wa Kwanza wa Tanzania na Kardinali wa Kwanza wa Afrika Kardinali Laurean Rugambwa, aliyeleta mchango mkubwa katika Taifa la Tanzania na kuacha alama kubwa barani Afrika.. Karibu ufuatilie simulizi hii kama anavyosimulia Askofu Method Kilaini.. www.radiombiu.co.tz #RmSautiYaFaraja #RugambwaDay

Askofu Antoine Kambanda ameteuliwa kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Kigali,ambaye hadi uteuzi wake alikuwa ni askofu wa Kibungo Tarehe 19 Novemba 2018, Baba Mtakatifu Francisko ameridhia maombi ya kung’atuka katika shughuli za kichungaji ya Jimbo Kuu la Kigali nchini Rwanda. Ni maombi yaliyowakilishwa na Askofu Mkuu Thaddée Ntihinyurwa, wakati huo huo akamteua Askofu […]

Shukrani kwa wamisionari waliojisadaka kutangaza na kushuhudia furaha ya Injili nchini Tanzania sanjari na jubilei ya miaka 100 ya wakleri nchini Tanzania; kumbu kumbu ya miaka 50 tangu Tanzania ilipoanzisha uhusiano wa kidiplomasia na Vatican pamoja na mafanikio yaliyokwisha kupatikana katika maisha na utume wa Kanisa nchini Tanzania. Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S. – […]

Wanandoa kote Nchini wametakiwa kuondoa wazo la kutenganishwa kwenye Ndoa yao wanapohitilafiana kwa makosa yanayotatulika, badala yake wadumishe Ndoa na Familia zao kwa kufuata viapo walivyokula wakati wakifunga Ndoa Kanisani. Hayo yamesemwa hivi Karibuni na Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba Mhashamu Method Kilaini, katika kipindi cha maswali na majibu ya Historia ya Kanisa, […]

Watawa nchini wametakiwa kuziishi vema nadhiri zao, hasa wanapounganika na jamii katika shughuli mbali mbali za kueneza Habari njema, na kufahamu wito wao kuwa sio kwa ajili ya mtu binafsi, bali Mungu amewaita kwa ajili ya kutumikia wengine na kanisa lake.   Wito huo umetolewa na Abate PLACIDUS MTUNGUJA OSB wa Abasia ya NDANDA jimbo […]


Current track

Title

Artist