habari
Page: 2
Wakristu Wakatoliki Nchini wameaswa kujizamisha katika Sala, kumpenda Mungu na kuonesha matumaini ili kuambatana pamoja na Kristu Yesu katika safari yake ya Mateso. Hayo yamesisitizwa na Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba Mhashamu Method Kilaini wakati wa adhimisho la Sadaka Takatifu ya Misa ya Matawi, iliyofanyika katika Parokia ya Bikira Maria Mama Mwenye Huruma […]
Mtakatifu Yasinta alizaliwa mwaka 1585 tarehe 16 Machi katika familia ya kitajiri ya Marcantio na Ottavia. Kutokana na uwezo mkubwa wa familia, Yasintha alipatiwa elimu bora. Akiwa na miaka 20 alichumbiwa na kijana toka familia tajiri. Akiwa katika maandalizi ya ndoa yao, alikataliwa na badala yake mdogo wake akaolewa. Kitendo hiki kilimuhuzunisha sana. Baada ya […]