habari
Page: 3
Mt. Anthony alizaliwa tarehe 23 /12/ 1807 Sallent karibu na Barcelona huko Hispania. Baba yake alikuwa mshona nguo na mfanyabiashara. Athony alifanya biashara hii na kwa muda wake wa ziada alijifunza kilatini na uchapaji. Mwaka 1827, alianza malezi ya upadre na alipewa daraja ya upadre mwezi Juni 13,1835 katika sherehe ya Mt. Anthony wa Padua. […]
Mt. Yohane Capistrano alizaliwa tarehe 24/6/1386 katika utawala wa Naples. Kwa moyo wake wa kishujaa na kuupenda ufalme, Mfalme Ladislaus alimchaguliwa kuwa gavana wa Perugia. Kwa kiu ya kumtumikia mfalme wa kweli, alijiunga na Maisha ya utawa wa Mt. Francis baada ya kuamua kumtumikia Kristo, Mfalme wa Milele. Aliiacha kazi yake na kuachana na binti […]
Papa Yohane Paulo wa pili, ni mtakatifu wa nyakati zetu, aliyechaguliwa kuwa papa tarehe 16/10/1978 na akaanza rasmi upapa tarehe 22/10/1978 akiwa ni papa wa kwanza kutoka Poland na wa papa 264. Mt. Yohane Paulo II, ambaye aliitwa Karol Josef Wojtyla, alizaliwa tarehe 18/5/1920 huko Wadowice Poland wakati wa utawala wa Wanazi. Alisoma seminari ya […]
Mt. Teresa wa Avila alizaliwa Hispania tarehe 28/3/1515 na Baba Alonso Sanchez na mama Beatrix. Walimlea katika maadili mema. Akiwa bado mdogo Teresa na kaka yake Rodrig walitoroka kwenda kuyatolea maisha yako kama mashahidi wakati wa madhulumu ya Moors. Teresa alijiunga na utawa akiwa na miaka 15, ambako aliishi kitakatifu akijita katika sala na maonano […]
Mt.Margaret Alakoki alizaliwa Julai 22 1647 katika ufalme wa Ufaransa. Akiwa bado aliugua sana homa kali iliyomfanya abaki amelala kwa miaka 4. Kwa muda wote huu, alisali na kuweka ahadi kwamba akipona ataishi maisha ya ufukara katika utawa. Kwa maombezi ya Mama Maria alipona, ndipo alipoongeza jina Maria katika majina yake. Margaret aliisahau ile […]
Mt. Seraphin alizaliwa huko Italia mwaka 1540 katika familia ya kimaskini ya Jerome De Nicola na Theodora. Wazazi hawa walimlea katika maadili bora akiwa na jina Felix. kwasababu ya hali ya familia yake, Felix alifanya kazi ya kuchunga mifugo. akiwa na miaka 16, alijiunga na wakapuchin na kupewa jina Seraphin alipoweka nadhiri. Akiwa utawani, Seraphin […]
Papa Yohane XXIII alizaliwa tarehe 25 Novemba 1881 huko Italia akiwa ni mtoto wa nne kati ya watoto 14 wa familia ya wakulima ya Giovanni Battista Roncali na Marianna Giulia Mazzolla. Jina lake la asili ni Angelo Giusseppe Roncali. Alipewa daraja ya Upadre tarehe 10/8/1904. Wakati wa vita ya kwanza ya dunia, Padre Roncali alihudumu […]
Tarehe 7 Oktoba 2019, Kanisa limeitikia mwaliko wa Mama Maria alioutoa pindi alipowatokea watoto wa Fatima akisema “Salini rosari tupate Amani na kuwaombea wakosefu ili wapate kutubu” Katika Basilika la Maria Maggiore mjini Roma, wamekusanyika wamia ya waamini toka nchi mbalimbali kushiriki katika rosari iliyoanza saa tisa kamili alasiri, ikiongozwa na Kardinali Filoni, mkuu wa […]
Mama Kanisa Mtakatifu anamkumbuka leo Mt. Augustino wa Hippo, Askofu na mwalimu. Alizaliwa huko Afrika ya Kaskazini, tarehe 13/11/354 na mama Monica. Akiwa kijana, Augustino aliishi maisha yasiyompendeza Mungu na watu hasa mama yake Monica. Alihama huku na huku akitafuta kumpata Mungu wa kweli, Mama yake hakuacha kumuombea kwa takribani miaka 30. Augustino aliongoka na […]