habari
Page: 6
Mt. Andrea alizaliwa mwaka 1521 huko Napoli huko Italia akaitwa Lanseloti. Alipopewa upadre, kwanza alisomea sheria na alipohitimu alipewa kazi ya wakili katika baraza la Kanisa. Katika kutekeleza wajibu huu, Lanseloti alisema uongo kidogo. Alipofikiri moyoni alitubu tangu hapo, aliondoka barazani asitake zaidi kuiponza roho yake na akaingia katika jamaa ya Wateatini. Akiwa utawani, alipata […]
Mtakatifu Hilda alizaliwa huko Uingireza mnamo mwaka 614 katika familia ya Kifalme. Alibatizwa akiwa na umri wa miaka 13 wakati wa Pasaka Aprili 12 627. Hilda aliamua kuishi maisha ya kikristo yaliyo jawa fadhila nyingi. Akiwa na miaka 33, alijiunga na monasteri. Akiwa utawani, Hilda alizidi kukua katika fadhila njema hasa ya uongozi. Kama mkuu […]
Mama Kanisa leo anaadhimisha kutabarukiwa makanisa ya watakatifu Petro na Paulo kwa sababu ya kuwaenzi hawa walio miamba ya imani Katoliki. Basilika la Mt. Petro lilijengwa juu ya kaburi la Petro Mtume kwenye kilima cha vatikano Roma wakati wa utawala wa Papa Silvesta I. Baada ya muda mrefu, lilijengwa kanisa jipya na kubwa […]
Shukrani kwa wamisionari waliojisadaka kutangaza na kushuhudia furaha ya Injili nchini Tanzania sanjari na jubilei ya miaka 100 ya wakleri nchini Tanzania; kumbu kumbu ya miaka 50 tangu Tanzania ilipoanzisha uhusiano wa kidiplomasia na Vatican pamoja na mafanikio yaliyokwisha kupatikana katika maisha na utume wa Kanisa nchini Tanzania. Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S. – […]
Angela Dorothea Merkel Hakuna Marefu yasiyokuwa na Ncha baada ya Uamuzi wake wa Kukaa kando katika masuala ya Siasa itakapofika 2021 Hii ndio sababu kuu ya kuporomoka kwa Merkel katika Siasa za Ujerumani na Ulaya