habari
Page: 7
Mt. Yohana tunayemkumbuka leo alizaliwa huko Kapistrano Italia 24/6/1386 katika ufalme wa Naples. Tangu utoto wake alitamani sana mambo ya kimungu. Yohana alijifunza sheria huko na Perugia akawa hakimu na gavana wa sehemu hiyo. Alijiunga na utawa wa mtakatifu Francisco na kupadrishwa mwaka 1420. Kama padre aliishi kifadhila na kwa furaha. Daima alisema “Nimepewa jina […]
Kanisa linamkumbuka leo Yohane Paulo wa Pili- Papa na mtakatifu wa zama zetu hizi. Alizaliwa huko Wadowice Poland 18/5/1920 wakati wa utawala wa ki Nazi na kupewa jina la Karol Josef Wojtyla. Alipata kazi katika kiwanda cha kemikali mwaka 1940. Akiwa na miaka 20, alifiwa na wazazi wake pamoja na ndugu yake. Katika huzuni na […]
Leo Kanisa linamkumbuka Mtakatifu Luka mwandishi wa Injili na Kitabu cha Matendo ya Mitume. Luka alikuwa daktari (Kol. 4:14), aliyetolea muda wake kusoma na kuelewa zaidi maandiko matakatifu, kama anavyokiri mwenyewe (Lk. 1:1-3)na maisha ya Yesu Kristo na jumuiya za kwanza za wakristo. Luka ni mwandishi pekee wa Injili asiye Myahudi. Injili aliyoiandika inaonesha alifanya utafiti […]
Kila ifikapo tarehe 14 mwezi wa kumi ni kumbukizi ya kifo cha Baba wa taifa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere na mwaka huu inatimia miaka kumi na tisa tangu alipo tutoka, taifa kwa ujumla linamkumbuka na kumuombea Baba wa taifa. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Alizaliwa Butiama, mkoani Mara, pembezoni mwa Ziwa Nyanza, 13 Aprill 1922 […]