matukio

 Na Patrick P. Tibanga Radio Mbiu. Waamini wakatoliki wamehimizwa kumpenda na kumwamini mama Bikira Maria na kukimbilia ulinzi wake pamoja na kuvichangia na kuviwezesha vyombo vya kanisa. Hayo yamesemwa na Padre Adeodatus Rwehumbiza Paroko wa Parokia ya Bukoba, katika kilele cha hija ya Bikira Maria wa Lurdi, Nyakijoga Parokiani Mugana , Misa iliyoongozwa na Askofu […]

Wakristu Wakatoliki Nchini wameaswa kujizamisha katika Sala, kumpenda Mungu na kuonesha matumaini ili kuambatana pamoja na Kristu Yesu katika safari yake ya Mateso. Hayo yamesisitizwa na Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba Mhashamu Method Kilaini wakati wa adhimisho la Sadaka Takatifu ya Misa ya Matawi, iliyofanyika katika Parokia ya Bikira Maria Mama Mwenye Huruma […]

Hija ni sehemu takatifu tuiheshimu kwani sio mahali pa kula ovyo ovyo na kunywa vitu mbali mbali, kwa kufanya hivyo unajichotea moto wa laana badala ya baraka. Na kawaida mnapoenda kusali mzingatie kuwa hamuendi wenyewe, mnaenda na msindikizaji ambaye ni shetani anayekuhimiza kusali na unapofika mahali pa sala atakuletea uchovu utakuta usinzia katika kati ya […]

Sauti ya majonzi na simanzi ilitanda katika Kanisa la Jimbo Katoliki  la Bukoba  na Kanisa la Tanzania kwa ujumla, hali ilibadilika tarehe 28/8/2018, siku ambayo mpendwa wetu Askofu Mstaafu Nestor Timanywa aliaga dunia huko Mwanza katika hospitali ya Rufaa- Bugando, alipokuwa akipatiwa matibabu. Hakika andiko lilitimia hazifai kuta za mawe, unapomtuma wako mjumbe na kwamba […]

HII Dunia yetu ina historia ndefu mno tangu ilipojiunda angani, miaka takribani bilioni 4.5 iliyopita. Tarakimu za umri huo wa miaka bilioni 4.5 ni 4,500,000,000, yaani miaka milioni elfu nne na mia tano iliyopita. Dunia ambayo kwa lugha ya Kiingereza inafahamika vyema kwa jina la ‘Earth’, pia hujulikana kama ‘the World’, ikimaanishwa ulimwengu. Aidha, Dunia […]

Leo ni maadhimisho ya miaka 57 tangu Tanganyika (Tanzania Bara) ipate uhuru wake kutoka kwa ukoloni wa Uingereza, kabla ya kuwa chini ya Uingereza Tanganyika iliwahi kuwa chini ya Ujerumani mpaka baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia. Tanganyika ni jina la kihistoria la sehemu kubwa ya Tanzania ya leo, yaani ile yote isiyo […]

Mtakatifu Klementi tunayemwadhimisha leo, aliongokea  imani ya kweli kwa uongozi wa Mt. Petro. Katika barua zake Mt. Paulo anamtaja kama mwenzi wa masumbuko yake ambaye jina lake limeandikwa katika kitabu cha uzima wa milele (Fil. 4:3). Klementi ni papa wa tatu baada ya Petro na alilitawala Kanisa kwa utaratibu na nguvu tangu mwaka 88 hadi […]

Kila mwaka kuanzia mwezi julai, nyangumi jike aina ya southern right whale ( Eubalaena Australis) huwasili katika pwani ya kusini mwa Santa Caterina ,nchini Brazil .Nyangumi hao husafiri kwa maelfu ya kilomita kutoka maeneo ya mbali kusini mwa Antaktiki ili wakazae na kulea watoto wao kwenye maji yenye kina kifupi, kwa miezi kadhaa wenyeji na […]

Caecilia ni shahidi maarufu wa Roma, aliyeyatolea maisha yake kumtumikia MUNGU. Caecilia alipenda sana kuimba sifa za Mungu. Tangu utoto wake, alitamani kujitoa kwa ajili ya Kristo. Masimulizi yanatuambia kuwa Caecila aliolewa na mpagani  Valerian. Wakati wa usiku wakiwa na Valerian, Caecilia alimwambia mumewe ,” Nina siri kubwa sharti nikuambue:karibu yangu husimama malaika mkuu anayenilinda, […]

UWEZO WA UPASUAJI NA UPANDIKIZAJI VIFAA VYA KUSAIDIA KUSIKIA (COCHLEAR-IMPLANTS) KWA WATOTO WAONGEZEKA NCHINI Hospitali ya Taifa Muhimbili inaendelea kutekeleza azma ya Serikali ya kupunguza idadi ya wagonjwa wanaokwenda kutibiwa nje ambao mara nyingi walikuwa wakifuata matibabu yasiyopatikana hapa nchini ama kutokana na kutokuwepo wataalamu au ukosefu wa vifaa vya kutolea huduma husika. Katika kutekeleza […]


Current track

Title

Artist