KATIKA KANISA KATOLIKI HAKUNA UBAGUZI “ASKOFU KILAINI”

Written by on May 27, 2022

Katika Kanisa katoliki hakuna ubaguzi kila Mmoja natakiwakufanya kazi yake kadri anavyoweza Ni sehemu ya Mahubiri ya Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba Method kilain katika Misa ya Dominika ya Sita ya Pasaka kutoka Kanisa la Bikira Maria Mama Mwenye Huruma Kanisa Kuu Bukoba

#RmSautiyaFaraja

#Salayashindahofu


Current track

Title

Artist

Pakua programu ya simu ya Apple
Send this to a friend