Blog
Mama Kanisa anaadhimisha sikukuu ya kutolewa Bikira Maria hekaluni. Masimulizi ya kale, yanadhihirisha kwamba wazazi wake Yoakimu na Anna walimtolea mwana wao kwa Mungu katika hekalu huko Jerusalem. Tunapofanya sikukuu hii, tunamtukuza na kumshukuru Mungu ambaye alimchagua Bikira Maria awe Mama wa Mungu. Heshima ile kubwa na ya ajabu ambayo Mungu alimpa Bikira Maria kwa […]
Mt. Andrea alizaliwa mwaka 1521 huko Napoli huko Italia akaitwa Lanseloti. Alipopewa upadre, kwanza alisomea sheria na alipohitimu alipewa kazi ya wakili katika baraza la Kanisa. Katika kutekeleza wajibu huu, Lanseloti alisema uongo kidogo. Alipofikiri moyoni alitubu tangu hapo, aliondoka barazani asitake zaidi kuiponza roho yake na akaingia katika jamaa ya Wateatini. Akiwa utawani, alipata […]