Padre Max; Mimba ni zawadi/ Vumilia changamoto na kutunza uhai
Written by ReganK on March 29, 2022
Hii ni homilia iliyotolewa na Padre Maximilian Mutasingwa Paroko msaidizi Parokia ya Rwamishenye Jimbo Katoliki Bukoba wakati wa misa takatifu ya Sikukuu ya kupashwa habari Bikira Maria, misa iliyoambatana na kuwaombea mama wajawazito katika kanisaKuu la Bikira Maria Mama mwenye huruma Kanisa kuu Bukoba. www.radiombiu.co.tz #RmSautiYaFaraja