Padre Maxmillian :Rozari haiweki mbolea fanya kazi/ ”Ntakula sadaka”/ Dini inakufungasha kwa Mungu
Written by ReganK on March 28, 2022
Ni mfululizo wa Mafundisho ya kila Juma kutoka kwa Paroko msaidizi wa Parokia ya Yohana Paulo II Rwamishenye Jimbo Katoliki la Bukoba Padre Maxmillian Mutasingwa , mafundisho haya hutolewa kila juma katika kanisa kuu la Bukoba Jimbo Katoliki la Bukoba. Karibu ufuatilie sehemu hii ya Mada inayohusu Mfungo wa Kwaresima. www.radiombiu.co.tz