Afya

UWEZO WA UPASUAJI NA UPANDIKIZAJI VIFAA VYA KUSAIDIA KUSIKIA (COCHLEAR-IMPLANTS) KWA WATOTO WAONGEZEKA NCHINI Hospitali ya Taifa Muhimbili inaendelea kutekeleza azma ya Serikali ya kupunguza idadi ya wagonjwa wanaokwenda kutibiwa nje ambao mara nyingi walikuwa wakifuata matibabu yasiyopatikana hapa nchini ama kutokana na kutokuwepo wataalamu au ukosefu wa vifaa vya kutolea huduma husika. Katika kutekeleza […]

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan taarifa inavyoonyesha hali halisi ilivyo sasa katika masuala yanayohusu uzazi salama wakati wa uzinduzi wa kampeni ya “Jiongeze Tuwavushe Salama” jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazeena Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akihutubia [...]

Current track

Title

Artist