Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. JOHN POMBE MAGUFULI leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mjukuu wa Malkia ELIZABETH II wa UINGEREZA, Prince WILLIAM, Ikulu Jijini DAR ES SALAAM. Katika mazungumzo hayo Prince WILLIAM ameelezea kufurahishwa na uhusiano mzuri uliopo kati ya TANZANIA na UINGEREZA, na amemshukuru Rais MAGUFULI kwa kupata nafasi ya […]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Damas Daniel Ndumbaro kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Dkt. Ndumbaro ambaye ni Mbunge wa Songea Mjini Mkoani Ruvuma anachukua nafasi ya Dkt. Susan Alphonce Kolimba ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Wakati huo huo, Rais Magufuli […]
Leo September 20, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli amemteua Balozi Mstaafu Ali Idi Siwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF). Uteuzi wa Balozi Mstaafu Ali Idi Siwa unaanza leo tarehe 20
Rais wa Uganda Yoweri Museven akamilisha ziara yake ya siku moja ya kikazi nchini kwa kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Dkt John Magufuli Ikulu ya Magogoni Jijini Dar Es Salaam. Baadhi ya Mambo muhimu waliyoyazungumza ni pamoja na utekelezwaji wa haraka wa mradi wa Bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda hadi Bandari […]
-
Pages
- 1