Maafisa wa Jeshi la Polisi nchini wametakiwa kutambua kuwa Uaskari siyo mwili au muonekano wa Mtu bali uwezo na vipaji alivyo navyo muhusika wa kutimiza majukumu yake ya kijeshi hasa katika eneo la ulinzi. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ISSA NG’IMBA wakati akifungua mafunzo ya […]