KAGERA

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti aweka wazi mikakati yake ya kuwafanya  Waedesha Pikipiki maarufu kama Bodaboda Mkoani Kagera hasa katika Manispaa ya Bukoba kuwa mojawapo ya Utalii katika Mji wa Bukoba na bodaboda hao kufanya kazi zao kiueledi na kwa kuinua vipato vyao huku wakijishughulisha na ujasiliamali katika vikundi vyao. […]

Na: Sylvester Raphael Viongozi wa Madhehebu ya Dini Mkoani Kagera waipongeza Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli kwa kuchukua hatua na maamuzi yanayolenga kumuinua mwananchi mnyonge ili afaidike na raslimali za nchi yake. Viongozi hao wa Madhehebu ya Dini Mkoani wakizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco […]

Na: Sylvester Raphael Ujumbe wa Kitaifa wa Maafisa wa Vyombo Mbalimbali vya  Ulinzi na Usalama kutoka Chuo cha Ulinzi cha Taifa (National Defence Collage) ukiwakilisha nchi 11 tofauti wautembelea Mkoa wa Kagera Januari 7, 2019 kujifunza na kubadilishana ujuzi na Uongozi wa Mkoa hasa katika masuala ya Ulinzi na Usalama na kutumia fursa hiyo kushauriana […]

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa leo amekabidhiwa na Mwakilishi wa Balozi wa Japan Nchini Bwana. Katsutoshi Takeda vyumba vitatu vya madarasa, Ofisi moja ya Mwalimu pamoja na matundu Nane ya vyoo kwa Shule ya Sekondari Nyakato na Shule ya Msingi Kashozi baada ya ujenzi wake kukamilika, kufuatia vyumba vya awali […]

  Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA amewataka Viongozi wa TAKUKURU wajiridhishe huduma zinatolewa kwa Wananchi na watumishi wa umma bila ya kuwepo vitendo vya rushwa, na pindi watakapobaini uwepo wa rushwa katika kutoa huduma wachukue hatua kwa wahusika. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo wakati akizungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya BIHARAMULO Mkoani KAGERA katika […]


Current track

Title

Artist