KONGWA

  Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA amesema, Vitendo vya udokozi wa mali ya Umma havitavumiliwa na Serikali na kuwataka Watumishi wawe Waadilifu na Waaminifu wanapotekeleza majukumu yao. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo wakati akizungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya KONGWA katika mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo akiwa katika ziara ya kikazi mkoani […]


Current track

Title

Artist