Na Erick Paschal Jnr Kujiuzulu kwa kulazimishwa kwa Mwanasheria mkuu wa serikali ya Marekani bwana Jeff Sessions; ni muendelezo wa hofu ya Rais Donald Trump kwa lile linalotajwa kuwa ni zimwi ilinaloendelea kuutafuna utawala wake uliongia madarakani mapema mwaka 2017. Kujiuzulu huko kwa kushinikizwa kwa Bwana Sessions, sio jambo la kushangaza hata kidogo ukilinganisha na […]