Matukio ya Kanisa-Kumbukizi kifo cha Baba Timanywa
Sauti ya majonzi na simanzi ilitanda katika Kanisa la Jimbo Katoliki la Bukoba na Kanisa la Tanzania kwa ujumla, hali ilibadilika tarehe 28/8/2018, siku ambayo mpendwa wetu Askofu Mstaafu Nestor Timanywa aliaga dunia huko Mwanza katika hospitali ya Rufaa- Bugando, alipokuwa akipatiwa matibabu. Hakika andiko lilitimia hazifai kuta za mawe, unapomtuma wako mjumbe na kwamba […]
-
Pages