Matukio ya sasa ya kidini

ASKOFU Mkuu Mwandamizi wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es salaam Mhashamu Yuda Thadei Ruwaich amesema kuwa amepokea kwa shukrani uteuzi wake na kuwaeleza waamini wa jimbo hilo kuwa yuko tayari kuwatumikia kwa utii licha ya changamoto za mazingira mapya ambazo huenda atakutana nazo. Ameeleza hayo katika Misa Takatifu ya kupokelewa kwake jimboni Dar es salaam, […]

Wanandoa kote Nchini wametakiwa kuondoa wazo la kutenganishwa kwenye Ndoa yao wanapohitilafiana kwa makosa yanayotatulika, badala yake wadumishe Ndoa na Familia zao kwa kufuata viapo walivyokula wakati wakifunga Ndoa Kanisani. Hayo yamesemwa hivi Karibuni na Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba Mhashamu Method Kilaini, katika kipindi cha maswali na majibu ya Historia ya Kanisa, […]

WAAAMINI wa Jimbo Katoliki Mtwara wametakiwa kufanya maamuzi sahihi katika masuala ya kiimani na kuacha kutangatanga pasipo kufanya uchambuzi wa kina. Hayo yamesemwa hivi karibuni na Askofu wa Jimbo Katoliki Mtwara Mhashamu Titus Mdoe wakati wa Ibada ya Misa Takatifu iliyoenda sambamba na utoaji wa Sakramenti ya Kipaimara katika Kanisa la Mtakatifu Paulo Parokia ya […]

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki na Kati, AMECEA limemteua Pd. Anthony Makunde wa  Jimbo Katoliki la Mbeya, Tanzania kuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho. Uteuzi umefuatia uchaguzi uliofanyika mwishoni mwa  Mkutano wa 19 Wa shirikisho hilo mnamo Julai 21, 2018 huko Addis Ababa. Taarifa hiyo ilitolewa na  Mwenyekiti anayeondoka HE Berhaneyesus D. Kardinali […]

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki na Kati, AMECEA, kuanzia tarehe 13 – 23 Julai 2018 huko Addis Ababa, nchini Ethiopia linaadhimisha mkutano wake wa 19 unaoongozwa na kauli mbiu “Tofauti mtetemo, Hadhi sawa, Umoja wa Amani ndani ya Mungu kwenye kanda ya AMECEA”. Hili ni tukio la furaha na kumshukuru Mwenyezi Mungu […]


Current track

Title

Artist