Michezo
Club ya Dar es Salaam Young Africans inaonekana kuzidi kuwa katika hali mbaya na hali ya sintofahamu inazidi kutanda ndania ya club hiyo, baada ya awali kuenea kwa taarifa kuwa katibu Mkuu wa Yanga Boniface Mkwasa kajiuzulu. Leo July 23 2018 kaimu mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga nae amaetangaza kujiuzulu nafasi yake ya uenyekiti kwa […]
Staa wa club ya Arsenal na timu ya taifa ya Ujerumani Mesut Ozil usiku wa July 22 2018 amefikia maamuzi mazito ya kutangaza kustaafu kucheza timu ya taifa ya Ujerumani Ozil kupitia barua yake aliyoisambaza katika mitandao ya kijamii, amefikia maamuzi ya kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Ujerumani ameeleza kuwa amestaafu baada ya kudai […]
Jina la staa wa soka wa Juventus licha ya kumaliza tetesi zake za usajili kwa kusaini na kujiunga na Juventus ya Italia rasmi Cristiano Ronaldo, jina lake limerudi tena kwenye headlines kuhusiana na tuhuma zake za ukwepaji kodi nchini Hispania. Radio ya Cadena Cope ya Hispania imeripoti kuwa Ronaldo amekubali yaishe na kulipa kodi ya pound […]
-
Pages