Mfanyabiashara na bilionea kijana Afrika MO Dewji amezidi kuonesha mapenzi yake katika michezo zaidi, baada ya kuamua kumfadhili bondia Hassan Mwakinyo anayejiandaa kwa pambano October 20 nchini Ujerumani. MO Dewji ambaye ameonesha kumuunga mkono Hassan Mwakinyo kwa kuripotiwa kuwa atagharamia maandalizi ya bondia huyo kuelekea pambano lake la October 20 dhidi ya Wanik Awdijan. […]