Sayari
Wataalamu wa anga za juu wamegundua sayari isiyo na joto sana na yenye ukubwa unaokaribia sana na wa dunia. Sayari hiyo inapatikana karibu na mfumo wetu wa Jua. Mandhari katika sayari hiyo ambayo imepewa jina Ross 128 b yanaifanya kuwa pahala pazuri pa kutafuta viumbe au uhai anga za juu. Sayari hiyo inapatikana umbali wa […]
-
Pages