TANZIA

TANZIA Kanisa Katoliki la Tanzania limepata pigo la kuondokewa na Askofu wa Jimbo Katoliki la Mbeya Mhashamu EVARISTO MARC CHENGULA, ambaye amefariki dunia leo mchana, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar Es Salaam. Askofu Chengula alizaliwa Januari Mosi Mwaka 1941 na alipata daraja Takatifu ya Upadri Oktoba 15 Mwaka 1970 na Mnamo Novemba Nane […]

August 28, 2018

Askofu Mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoba Mhashamu Nestor Timanywa amefariki dunia leo katika Hospitali ya Rufaa Bugando Mkoani Mwanza alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Taarifa iliyotolewa na Mhashamu Baba Askofu Desderius Rwoma wa Jimbo Katoliki la Bukoba imeeleza kuwa Baba Askofu Mstaafu Nestor Timanywa amefariki dunia kwa ugonjwa wa saratani majira ya saa tano asubuhi ya […]


Current track

Title

Artist