TEC

Balozi wa Baba Mtakatifu nchini Tanzania, anayo furaha kutangaza kwamba Baba Mtakatifu Fransisko amelipandisha hadhi Jimbo Katoliki la Mbeya na kuwa Jimbo kuu Katoliki la Mbeya ikiwa na majimbo ya Iringa na Sumbawanga chini yake. Wakati huo huo Baba Mtakatifu amemteua Mhashamu Askofu Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mbeya […]

KUMBUKUMBU YA KUZALIWA Leo Jumanne 04/12/2018 ni Kumbukumbu ya Miaka 51 ya Kuzaliwa Mhashamu Flavian Matindi Kassala, Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Askofu Flavian Matindi Kassala Alizaliwa 04/12/1967 Huko Sumve, Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza. Askofu Flavian Matindi Kassala Alipewa Daraja Takatifu ya […]

 Wamiliki, watangazaji na watumiaji wa vyombo mbalimbali vya habari vya Kanisa wameaswa kushiriki katika uinjilishaji na kutumia dominika ya misioni katika kuendeleza utume wa Kanisa, malezi sambamba na ukuzaji imani. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Idara ya Mashirika ya Uinjilisha kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (T.E. C) Padre DAKTARI JOVITUS MWIJAGE wakati akitoa […]

  Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la DAR ES SALAAM Mhashamu EUSIBIUS NZIGILWA, amewataka Wanahabari wa Vyombo vya Habari vya Kanisa Katoliki, kutojisahau na kutwaliwa na Ulimwengu na kusahau lengo la kuanzishwa kwa vyombo hivyo. Askofu NZIGILWA ameyasema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo vya Kanisa wanaoshiriki katika mafunzo ya […]

Wanahabari wa Vyombo vya Habari vya Kijamii Nchini wametakiwa kufanya utafiti wa kutosha katika habari wanazoandika kwa kutumia data na takwimu sahihi ili kuleta maendeleo katika Jamii. Wito huo umetolewa leo na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padre DAKTA CHARLES KITIMA wakati akifungua mafunzo ya Siku kumi ya Utafiti kwa Vyombo vya […]


Current track

Title

Artist