TPL
Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2018/2019 imeendelea tena hapo jana kwa michezo mitatu kuchezwa, Bingwa mtetezi Simba SC alishuka dimbani kucheza mchezo wake wa nne wa Ligi Kuu msimu huu dhidi ya Mbao FC katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza. Simba katika mchezo huo walishuka dimbani wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza point mbili katika […]
-
Pages