VATICAN

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amemualika kiongozi wa juu wa kanisa katoliki duniani Papa Francis kuitembelea nchi hiyo kama hatua ya kuonesha ishara ya kuwepo juhudi za amani katika eneo hilo la rasi ya Korea. Hayo yameelezwa leo na ofisi ya rais wa Korea kusini, Korea Kaskazini na Makao makuu ya kanisa Katoliki […]

Baba Mtakatifu FRANCISKO, amemshukuru MAMA BIKIRA MARIA kwa maombezi yake yaliyofanikisha ziara yake ya kitume ya siku NNE katika ya katika nchi za Kibaltiki ambazo ni LITHUANIA, LATVIA na ESTONIA. Kwa mujibu wa Radio Vatican Baba Mtakatifu amehitimisha Hija yake jana, na wakati wa kurudi mjini VATICAN amepitia katika Kanisa Kuu la Mtakatifu MARIA MKUU […]

Baba Mtakatifu FRANCISCO ametuma ujumbe wa salamu za pole na rambi rambi kwa raia, viongozi wa kanisa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kufuatia ajali ya kivuko cha MV NYERERE iliyotokea Septemba 20,2018 katika kisiwa cha Ukara Baba Mtakatifu FRANCISCO ametuma salamu hizo katika ujumbe wake uliotiwa saini na Kardinali PERTO PAROLIN katibu […]


Current track

Title

Artist