Ulimi ni neema lakini ni mtego” Padre Dkt Kamugisha”
Written by ReganK on October 22, 2021
Ni mafundisho ya kila juma yanayotolewa na Paroko wa Parokia ya Minziro Jimbo Katoliki la Bukoba Pade Dkt Faustine Kamugisha, Mafundisho haya hutolewa kila Alhamis saa 11 jioni katika Kanisa kuu la Bukoba, Juma hili mada ilikuwa ni Neema ni Mtego. wote mnakaribishwa kuhudhuria mafundisho haya katika Kanisa kuu.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja